Achata maya finsi
Una takanfupa
Kaka yangu kakupenda
Iweje ni kupende
Achata maya finsi
Una takanfupa
Shemegi
Siwezi
Siwezi
Ninajua wewe ni shemegi
Iweje ni wewakompenzi
Wewe ni shemegi
Siwezi kuwa wakompenzi Wewe ni shemegi
Siwezi kuwa wakompenzi Wewe ni shemegi
Siwezi kuwa wakompenzi
Kwa nini na mimi unanitaka Na wewe ni shemegi kakangu alikuowa
Mahaba yangu murudushie kakangu Sinifanya nikosane
Na kakangu shemegi gani ambaye Unanitaka
Hatta kama sijapata Nakshimrembo
Kwa nini na mimi unanitaka Na wewe ni shemegi kakangu alikuowa
Mahaba yangu murudushie kakangu Sinifanya nikosane
Na kakangu shemegi gani ambaye Unanitaka
Heshimaya ngunayo kupa Shemegi chichona
lifumba Achata maya finsi Una takanfupa
Kwa nini na mimi unanitaka Na wewe ni shemegi kakangu alikuowa
Hivi kwa nini na mimi unanitaka Na wewe ni shemegi kakangu alikuowa
Mahaba yangu murudushie kakangu Sinifanya nikosane
Na kakangu shemegi gani ambaye Unanitaka
Una takanfupa Achata maya finsi
Đang Cập Nhật