Nime kuja nyumbani, masafa ya meisha
Ini ardi yangu, hamsa yangu
Na shukuru kwa kila, jambo ulilofanya
Katika moyo wangu, ewe ni sehemu ya familia
Kwe tu nifuraha, hakuna kisasi
Tunakubali kila kitu, wacha tushereke
Tunyeshe upendo, mana hiyo ndiyo nguvu
Kwe tu njuali na nga, tushereke ya maisha
Tuko hapa, tumekuja kumshukuru
Tupige makufi, furahi kwa pamoja
Tutashinda changamoto, na jua liki wajuu
Kwe tu nifuraha, hakuna mwenye huzumi
Sema kwe tu, jaza roho, yangu na furaha
Mshikilie, tuende mbele, hakuna chakutushinda
Piga kelele, pija makufi, furaha iku kwe tu
Piga picha, hii ni wakati wetu
Tumejivunia, tumekuja kwa furaha
Hapa ni nyumbani, nisehemu ya amani
Kwe tu hakuna kelele, hakuna machafuko
Tunaishi kwa mapenzi, ishimana wa mingifu
Kwe tu nifuraha, hakuna kisasi
Tuna kubali kila kitu, wacha tushereke
Tunyeshe upendo, mana hiyo ndiyo nguvu
Kwe tu njuali na nga, tushereke ya maisha
Tuko hapa, tumekuja kumshukuru
Tupige makufi, furahi kwa pamoja
Tutashinda changamoto, najua liki wajuu
Kwe tu nifuraha, hakuna mwenye huzumi
Mshikilie, tuende mbele, hakuna chakutushinda
Tumejivunia, tumekuja kwa furaha
Nisema kwe tu, jazaroho, yangu na furaha
Tuko hapa, tumekuja kumshikuru
Nushikilie, tuende mbele, hakuna chakutushinda
Piga kelele, piga makofi, furaha ikokuetu
Piga picha, hii ni wakati wetu
Hii ni dunia yetu, na hakika ni yetu
Kila moja napata, nafasi ya kuangaza
Kila mtu hapa anajivunia, furaha ipo
Tutashereke hapa moja, tuache matatizo
Kwa tu nifuraha, hakuna kisasi
Tunakubali kila kitu, achatushereke
Tuonyeshe upendo, mana hiyo ni onguvu
Kwa tu, juali na nga, tuashereke ya maisha
Tuko hapa, tumekuja kumshukuru
Tupidi makofi, furaha ikwa pamoja